BREAKING NEWZ : MAGUFULI AKATALIWA GEITA
Katika hali ya kustaajabisha mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi( CCM) Mh John Magufuli amekutwa na pingamizi la wana mabadiliko mkoani geita wakati akijaribu kuwashawishi wampigie kura za urais.hali ilianza kua tata pale mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi ya ccm Abdalah Bulembo alipoanza kumsema vibaya mgombea wa urais kupitia Chadema na ukawa Mh Edward Lowasa .ndipo ghafla kundi kubwa la wana mabadiliko walipoanza kupinga na kunyenyua mabango ya kudhibitisha uhitahaji wao wa mabadiliko.
hali ilizidi kuwa mbaya alipopanda Mgombea mwenyewe kuhutubia na ndipo alipoonekana kukasirika na kuamrisha askari kudhibiti mvumo huo wa wana mabadiliko.
kaa nami karibu nitaendelea kukujulisha kinachoendelea huko Geita
7 comments
Kaka mm ni bloggers mwenzio lakini angalia sana unapoandika uongo
ReplyMabadilikoooooooo lowasaaaaaaaa
ReplyHusiseme muongo mr. Mabulla,umefuatilia?
ReplyHiiiiiii
ReplyJotham hakuna uongo hapo ilikuwa love niliona tukio zima hilo. Chanzo bulembo, diallo na msukuma kumzungumzia mgombea wa ukawa hali o
Replyilikuwa mbaya bulembo halishindwa kuendelea na akamkaribisha makufuli.
Live hiyo bulembo hatarudia tena
Replyhahahahhahahaha duuuuh watakoma mwaka huu mbaka kieleweke
Reply