Wednesday, 23 September 2015

Katika hali ya kustaajabisha mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi( CCM) Mh John Magufuli amekutwa na pingamizi la wana mabadiliko mkoani geita wakati akijaribu kuwashawishi wampigie kura za urais.hali ilianza kua tata pale mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi ya ccm Abdalah Bulembo alipoanza kumsema vibaya mgombea wa urais kupitia Chadema na ukawa Mh Edward Lowasa .ndipo ghafla kundi kubwa la wana mabadiliko walipoanza kupinga na kunyenyua mabango ya kudhibitisha uhitahaji wao wa mabadiliko.
hali ilizidi kuwa mbaya alipopanda Mgombea mwenyewe kuhutubia na ndipo alipoonekana kukasirika na kuamrisha askari kudhibiti mvumo huo wa wana mabadiliko.
              kaa nami karibu nitaendelea kukujulisha kinachoendelea huko Geita

7 comments

Kaka mm ni bloggers mwenzio lakini angalia sana unapoandika uongo

Reply

Husiseme muongo mr. Mabulla,umefuatilia?

Reply

Jotham hakuna uongo hapo ilikuwa love niliona tukio zima hilo. Chanzo bulembo, diallo na msukuma kumzungumzia mgombea wa ukawa hali o
ilikuwa mbaya bulembo halishindwa kuendelea na akamkaribisha makufuli.

Reply

Live hiyo bulembo hatarudia tena

Reply

hahahahhahahaha duuuuh watakoma mwaka huu mbaka kieleweke

Reply