MAFURIKO YA LOWASAA BADO YANAENDELEA, PICHA HIZI NI MPYA KUTOKA DAKAWA MOROGORO
Aliyekuwa mgombea Urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi ya UKAWA, Edward Lowassa jana alipata mapokezi makubwa kwa wakazi wa mnada wa Dakawa baada ya kusimama na kuwasalimia.Lowassa alikuwa safarini kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya wabunge wa UKAWA. Picha zote kutoka: mpekuzihuru
RAIS DKT. MAGUFULI ALIVYOWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika
hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi
wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee na
watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu
Waziri , leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha waziri wa Katiba na Sheria, Harrison Mwakyembe katika hafla
fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha Naibu waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu Kijaji katika
hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba
katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika
ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimwapisha waziri wa Sera, Bunge, Kazi ,Vijana,Ajira na Walemavu, Dkt.
Abdallah Possi katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri, na manaibu
Waziri leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri wa Aridhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI),Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri wa wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Jenista Mhagama katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Yusuf Makamba katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora. Angella Kairuki, katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.,Mwigulu Lameck Nchemba katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Kikanda na Kimataifa Dkt. Augustine Mahiga katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Naibu wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Antony Mavunde, katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Khamis Kigwangala katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Naibu Waziri wa wizara ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI, Utumishi & Utawala Bora) Jaffo Seleman Said katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi
rasmi Ofisi ya Rais leo Novemba 12, 2015
Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Rais Mstaafu
wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es
salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Obeni Sefue alipofika Ikulu jijini Dar es
salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya
Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam
kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais. Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiongea kabla ya kukabidhi rasmi
Ofisi ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akipokea kwa furaha hati ya makabadhiano ya
Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 12, 2015
Rais Dkt John Pombe Magufuli akipokea kwa furaha hati ya makabadhiano ya Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 12, 2015 |
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akiiangalia kwa furaha hati ya makabadhiano ya
Ofisi aliyoipokea kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 12, 2015
Rais
Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, Makiamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu
Kiongozi baada ya hafla ya makabidhiano rasmi ya Ofisi Ikulu jijini
Dar es salaam kukabidhi rasmi leo Novemba 12, 2015
Rais
Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, Makiamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan baada ya hafla ya
makabidhiano rasmi ya Ofisi Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi
leo Novemba 12, 2015. PICHA ZOTE NA ISSA MICHUZI WA IKULU
MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU AKABIDHIWA RASMI OFISI, AKARIBISHWA RASMI NA WAFANYAKAZI WA OFISI YAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea nyaraka za Ofisi kutoka kwa Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo. Picha zote na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisaini Kitabu cha wageni wakati alipoingia Ofisini kwake kwa mara ya kwanza baada ya kukabidhiwa Ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, leo Nov 9, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia kwake), Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula na Naibu Katibu Mkuu wake, ....baada ya makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais, baada ya bakabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leoMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais, baada ya bakabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais, wakati akiondoka baada ya makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakiwa wamejipanga mstari wakisubiri kumpokea Bosi wao Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwasili leo kwa mara ya kwanza baada ya makabidhiano rasmi ya Ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Bilal.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya Maua kama ishara ya makaribisho, kutoka kwa mfanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Martha Mashuki, wakati alipowasili kwa mara ya kwanza kwenye Ofisi yake na kupokelewa na wafanyakazi wake leo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ua Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi yake, Sazi Salula,wakati alipowasili kwenye Ofisi yake kwa mara ya kwanza baada ya kukabidhiwa ofisi rasmi leo, Nov 9,2015. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Eng. Angelina Madete.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi yake wakati alipowasili kwenye Ofisi yake kwa mara ya kwanza leo baada ya kukabidhiwa rasmi Ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Bilal. Wafanyakazi hao walijipanga kumpokea huku wakiimba, kupiga makofi na vigeregre wakati akiwasili.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi yake wakati alipowasili kwenye Ofisi yake kwa mara ya kwanza leo baada ya kukabidhiwa rasmi Ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Bilal. Wafanyakazi hao walijipanga kumpokea huku wakiimba, kupiga makofi na vigeregre wakati akiwasili. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati alipowasili kwenye Ofisi hiyo leo Nov 9, 2015 baada ya makabidhiano. Akizungumza na wafanyakazi hao Mama Samia, aliwataka watumishi hao kufanya kazi kwa mashirikiano na kwa bidii ili kutimiza Kaulimbiu ya Mhe.Rais ya 'HAPA KAZI TU'. Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao leo alipowasili Ofisini kwa mara ya kwanza baada ya kukabidhiwa Ofisi rasmi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wakurugenzi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) alipowasili ofisi kwake kwa mara ya kwanza leo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi yake baada ya kuzungumza nao alipowasili ofisi kwake kwa mara ya kwanza leoMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wanamama wa Ofisi yake baada ya kuzungumza nao alipowasili ofisi kwake kwa mara ya kwanza leo Nov 9, 2015 kwa makabidhiano ya Ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu.
MH DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
ALIPOFANYA ZIARA YA GHAFLA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI
MH DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
ALIPOFANYA ZIARA YA GHAFLA HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za Binadam,Bi Hellen Kijo Bisimba aliyelazwa hospital ya Agakhan mapema leo kufuatia ajali ya gari aliyoipata mwishoni mwa wiki barabara ya Al-Hassan Mwinyi jijini Dar, Dkt Magufuli pia amefanya ziara ya kushtukiza katika hopsitali ya Taifa ya Muhimbili ikiwemo pia alitembelea wodi mbalimbali za wagonjwa na kuwajulia hali zao.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya Novemba 9, 2015
Rais Dkt.john Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya kushtukiza hospitalini hap oleo na kuwafariji wagonjwa.
Rais akiagana na wauguzi na wafanyakazi wa hospitali ya taifa Muhimbili
Rais akipungia mkono, wagonjwa na wananchi wakati alipotembelea hospitali ya taifa Muhimbili
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SIKU YA KWANZA YA MH JOHN MAGUFULI NDANI IKULU YA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanausalama alipowasili Ikulu mara baada ya Kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa Ikulu mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ngoma kama ishara ya kumkaribisha Ikulu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya kuapishwa
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janet Magufuli na Mke wa Rais aliyemaliza muda wake Mama Salma Kikwete wakiwa katika hafla iliyofanyika mapema leo Ikulu Dar es Salaam
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ally Mohamed Shein akimueleza jambo Rais wa Kenya Uhuru Kenyata wakati wa hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyata, Raila Odinga na wake zao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyata leo Ikilu Jijini Dar es Salaam
Raila Odinga akimkumbatia Rais wa Kenya Uhuru Kenyata katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwaeleza Jambo Rais wa Kenya Uhuru Kenyata na Rais aliyemaliza Muda wake Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo Ikulu Jijini Dar es Salaam
SHEREHE
YA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA TANO NDG JOHN POMBE MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride maalum la Jeshi la Ulinzi lenye Umbo la Alfa, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa Serikali mpya ya awamu ya tano, katika Sherehe za kuapishwa kwake, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam leo. Sherehe hizo zimehudhuliwa na viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Chande Othman, katika Sherehe za kuapishwa kwake, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam leo.Kushoto ni Rais aliemaliza muda wake, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Makamu wake, Mh. Dkt. Mohamed Gharib Bilal. Wa pili kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.
Rais aliemaliza muda wake, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davies Mwamunyange, wakati akiwaaga wananchi mara tu alipowasili kwenye Uwanja wa Taifa, katika Sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa awamu ya tano, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli, zilizofanyika leo jijini Dar es salaam.
Rais aliemaliza muda wake, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu ya heshima ya kijeshi kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Mpya wa awamu ya tano, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais Mpya wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akionyesha Mkuki na Ngao aliokabidhiwa na Wazee wa kimila ikiwa ni ishara ya Uongozi wa Kitaifa, katika Sherehe za kuapishwa kwake, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam leo.
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uwanja wa Uhuru leo.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa amekaa na viongozi mbalimbali katika jukwaa kuu mara baada ya kuapishwa leo hii kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Kadinali Policarp Pengo na Askofu Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dk. Alex Malasusa wakielekea katika eneo la kuapishia.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande na Spika wa Bunge mama Anne Makinda wakielekea katika aneo la kuapishia.
Viongozi mbalimbali serikali na maofisa wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa katika sherehe hizo kwenye uwanja wa Uhuru.
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uwanja wa Uhuru leo.
MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA MH EDWARD LOWASSA,JANGWANI LEO TAREHE 24/10/2015
MH EDWARD LOWASSA AKIHUTUBIA LEO KATIKA UWANJA WA JANGWANI
mmoja wa wana mabadiliko akiwa amezidiwa,hivyo kuhitaji msaada wa haraka akiondolewa katika msongamano wa wanachi
MKUTANO WA MH EDWARD LOWASSA MJI MDOGO WA RUAHA,MIKUMI
Mh Edward Lowasa ,mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA,akimnadi Mh Joseph Haule,mgombea ubunge jimbo la Mikumi
Mh Edward Lowassa akiongea na wakazi wa mikumi jioni ya leo
Waziri Mstaafu Mh Fedrick Sumaye akiongea na wakazi wa Mikumi
Post a Comment: