Friday 1 December 2017

Rais Mpya wa Zimbabwe Alitaja Baraza Lake la Mawaziri Amteua Wakuu  wa Majeshi Kuwa Waziri



Rais mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amelitaja baraza lake la mawaziri akimteua afisa mkuu wa jeshi kwa wadhfu mkuu katika serikali yake.
 
Waziri mpya wa fedha ni Sibusiso Moyo , jenerali aliyetangaza katika runinga ya taifa hilo wiki mbili zilizopita kwamba jeshi limechukua udhibiti.
 
Mkuu wa jeshi la angani Perence Shiri ataongoza wizara ya fedha na kilimo.Kiongozi mmoja wa upinzani Tendai Biti amesema kuwa fungate iliokuwa ikisherehekewa Zimbabwe imeisha kabla ya kuanza.
 
Bwana Mnangagwa aliapishwa wiki moja iliopita kufuatia kujiuzulu kwa Robert Mugabe ambaye alikuwa

Post a Comment: