Rais Magufuli Asali Ibada Ya Familia Takatifu Jijini Dar Es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishukuru mara baada ya kushiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya
Jumapili ya Familia Takatifu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
waumini wa Kanisa la Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya jumapili ya Familia
Takatifu katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
waumini wengine wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay wakishiriki Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu katika
Kanisa hilo la jijini Dar es Salaam.

Paroko Msaidizi wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Fr.
Asis Mendokta mara baada ya Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu
katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Post a Comment: