Wednesday, 6 September 2017





Leo September 5, 2017 Mkutano wa Nane wa
Bunge la 11 umeanza rasmi Dodoma ambapo baada ya kuapishwa Wabunge wapya
wa Viti Maalumu wa CUF, Wabunge kuuliza maswali kwa Serikali na
Mawaziri husika kusimama kuyatolea ufafanuzi.

Katika Bunge la leo nimeyanasa haya maswali makubwa yaliyoulizwa na Wabunge kisha kupatiwa majibu na ufafanuzi wa Serikali.








CHANZO:MILLARDAYO.COM

Post a Comment: