Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba
Bi. Ana Teressa .jana Agosti 27/2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
Havana ,baada ya kumaliza ziara ya kikazi Nchini Cuba. Katikati ni Mke
wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Post a Comment: