Raisi John Magufuli amteua naibu mkurugenzi wa TAKUKURU
Raisi John Magufuli leo August 21, 2017
amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu
wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Uteuzi wa Brigedia Jenerali John Julius Mbungo unaanza leo August 21, 2017.
Post a Comment: