MWANASHERIA
Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepelekwa
nyumbani kwake na polisi kwa ajili ya kupekuliwa.Tundu Lissu anashikiliwa na Polisi
baada ya kummakata jana alipokuwa anatoka katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu ambapo alipelekwa Kituoni kuhojiwa kwa makosa mawili.Makosa anayoshtakiwa nayo la kwanza ni
kumkashifu Rais, na kosa la pili ni la uchochezi dhidi ya ndege za
serikali kuzuiwa Canada
Post a Comment: