Mbunge Msukuma kamjibu Tundu Lissu kuhusu Bombardier
Baada ya Serikali kutoa tamko kuhusu ishu ya ndege Bombardier
kukamatwa Canada ambayo ilitolewa na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu
Lissu ambaye alisema ndege hiyo imekamatwa na wadeni wanaoidai Serikali.
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma amemjibu
Mbunge Lissu akisema Watanzania wanatakiwa kuendelea kujenga uchumi wa
nchi.
”Nimemsikiliza Tundu Lissu lakini tumesikiliza
pia majibu ya Serikali yaliyotolewa na Msemaji wa Serikali. Kikubwa ni
kuwaomba Watanzania tuendelee kujenga uchumi wetu wa Serikali ya
viwanda. Kutoka kwenye uchumi tuliokuwa nao mpaka hapa tulipo na
tunakoelekea.”
Post a Comment: