MH TUNDU LISU ASHINDA URAIS WA TLS
Mwanasheria mkongwe na maarufu sana Kwa sasa ndani ya Tanzania hasa kwa umahiri wake wa kutafsiri sheria, Mh Tundu Lissu, leo amechaguliwa kuwa rais wa jumuiya ya wanasheria Tanganyika (Tls).
Katika uchaguzi huo Lissu ameshinda kwa kishindo, baada ya kupata kura zaidi ya asilimia 84 ya kura zote.
Orodha kamili ya washindi na jopo jipya la uongozi wa Tls ni kama ifuatavyo
List of Council Members.
1. Jeremiah Motebesya
2. Gida Lambaji
3. Hussein Mtembwa
4. Aisha Sinda
5. Steven Axweso
6. David Shilatu
7. Daniel Bushele.
President: Tundu Lissu.
Vice President; Godwin Ngwilimi.
HT; Magai
Post a Comment: