Friday, 10 February 2017

Wakati wa Tanzania wengi wakiwa katika taharuki kubwa, juu ya mapambano aliyoanzisha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda dhidi ya madawa wa kulevya.
Katika kusapoti vita hii Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dr John Pombe Magufuli.leo amefanya uteuzi wa kamishna mkuu wa tume ya kupambana na madawa ya kulevya.

Post a Comment: