Friday, 3 February 2017

Ikiwa ni masaa 48 tangu aliyekuwa mkuu wa majeshi na ulinzi General Davis Mwamunyange astaafu kazi.Mh Rais JPM amefanya uteuzi wa kuziba nyadhifa hiyo nyeti na kuu katika nchi.kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kitengo vha habari ikulu jioni ya leo.Rais amemteua aliyekuwa mnadhimu mkuu wa jeshi la ulinzi Mh luten general Mabeyo kushika nyadhifa hiyo.

Post a Comment: