Monday, 16 January 2017

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh JPM amefanya uteuzi wa wabunge wengine wawili leo tarehe 16/01/17.
Uteuzi huo umemuhusisha Ndg Abdallah Majura Bulembo, mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi ya ccm na Prof Palamagamba ambaye ni mhadhiri wa chuo kikuu D ar es salaam.

Post a Comment: