VUGUVUGU LA MAPAMBANO YA WAMACHINGA JIJINI MBEYA
Wednesday, December 14, 2016
Mapambano makali baina ya Jeshi la Polisi na Madereva wa pikipiki za magurudumu matatu maarufu kwa jina la Bajaji yanaendelea jijini Mbeya hivi sasa. Ni baada ya bajaji kuzuiwa kupita barabara Kuu na wenzao 43 kukamatwa na kufikishwa mahakamani hivi Leo.
Post a Comment: