Monday, 26 December 2016

*"Sumaye na Lowassa waliondoka CCM kutokana na kutoridhika na uvunjifu wa demokrasia"* Kondo Tutindaga

*"...ikiwa chadema itaendelea kuendekeza utaratibu huu wa kuwa kuna baadhi ya viongozi wanataka kumbeba viongozi wao, hakutakuwa na sababu ya wanaopinga udikteta kwa CCM kuendelea kuwa Chadema"* Kondo Tutindaga

*"katika karne ya 21 wanaojiita waumini wa demokrasia ndiyo wanakuwa vinara wa kupitisha mgombea kwa kura za ndiyo au hapana"* Kondo Tutindaga, 2016

*"Msigwa halikuwa hapambani kushika nafasi hiyo kwa sababu anataka kujenga chama katika eneo lake. La hasha, kama angetaka kufanya hivyo angeweza kufanya miaka kumi iliyopita"* Kondo Tutindaga, 2016

*"ni vyema chadema kikarudi kuwa chama cha umma badala ya utaratibu wa sasa wa kutaka kukifanya kuwa chama cha viongozi au mtu mmoja"* Kondo Tutindaga, 2016

*"....wote wanaopiga makofi na kushangilia midomoni lakini mioyoni wakiwa wamenuna kwa woga, wanafanya makosa makubwa yatakayokigharimu chama na wao wenyewe pale mambo yanapogeuka, Tuombe Mungu wasifike huko"* Kondo Tutindaga.

Nukuu za leo, Gazeti la Mwanahalisi Toleo namba 371

Post a Comment: