Thursday, 28 July 2016

Msajili wa vyama siasa nchini ametoa tamko kali kulaani na kupinga tamko la chama cha Chadema kuwataka Watanzania kufanya maandamano na mikutano nchi nzima,lilotolewa na mwenyekiti wa chama hicho Mh Freeman Mbowe siku ya jana wakati akiongea na waandishi juu ya maazimio ya kamati kuu ya Chama.

Post a Comment: