Naibu Spika Tulia Ackson Adai Kura za Ukawa Haziwezi Kumng'oa Katika Nafasi yake
Monday, July 11, 2016

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa kiuhalisia kura za Wabunge
wa UKAWA haziwezi kumng'oa katika nafasi yake kwa sababu idadi yao ni
ndogo.
Amesema hoja ya wabunge wa UKAWA kutaka aenguliwe kwenye wadhifa wake
inafanyiwa kazi na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
Post a Comment: