MAGUFULI APITISHWA KUWA MWENYIKITI WA 5 WA CCM TAIFA
Rais John Pombe Joseph Magufuli,jioni ya leo amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu,wa chama chake cha CCM kuwa mwenyekiti wa Taifa wa chama hucho.
Jumla ya kura zilizopigwa ni 2398,na kati ya hizo hakuna ilioharibika.kura za ndio zilikua 2398 na kura za hapana zilikua 0.
Post a Comment: