mahakama kuu kanda ya mwanza imetupilia mbali ombi la chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), la kufungua kesi dhidi ya amri ya polisi kupinga mikutano ya siasa nchi nzima.Uamuzi huo umetolea na Jaji Mohamed Gwae baada ya kukubaliana na pingamizi
lililowekwa na mawakili wa utetezi, Robert Kidando na Obadia Kajungu
waliodai waleta maombi hawakutumia kanuni sahihi kuwasilisha ombi hilo.
Post a Comment: