Sunday, 29 May 2016



Mh Zitto Kabwe nae amesema nusu ya walimu hawafanyi kazi na ndio 'watumishi hewa haswa'

akifafanua hilo Mh Zitto amesema pia utafiti uliofanyika na Benki ya Dunia na REPOA unaonesha kuwa ukitembelea ghafla kwenye shule za umma utakuta walimu wengi hawapo shuleni muda wa kazi.
Tizama video hii hapa chini



Post a Comment: