UPINZANI WADAI MIRADI YA MAJI VIJIJINI
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeitaka Serikali kutimiza ahadi yake ya kuanzisha Wakala wa Maji Vijijini kama ilivyo Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) ili kusimamia utoaji wa huduma hiyo kwa wananchi wa vijijini.
Akiwasilisha hotuba ya kambi hiyo , Msemaji katika Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Hamidu Bobali, alisema mradi wa kuvipatia maji vijijini 10 kwa kila wilaya ulitumia fedha nyingi lakini hayakupatikana.
Post a Comment: