MATUKIO YA PICHA BUNGENI WAKATI WA KUPITISHA BAJETI YA WIZARA YA AFYA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akihitimisha majumuisho ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma 
Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Hamis Kigwangallah akijibu moja ya hoja za wabunge.
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo akichangia wakati wa majadiliano ya Bajeti ya wizara hiyo
Mbunge wa Segerea, akiichangia hoja wakati wa wizara ya Afya. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang'ata.
Mbunge wa Donge, Sadifa (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia). Kushoto ni Mnadhimu Mkuu wa Bunge wa Serikali, Jenista Mhagama.
SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI
mbunge wa segerea mh bonnah kaluwa

Post a Comment: