Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni akizungumza baada ya Upinzani kutolewa tena Bungeni
baada ya Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi kutangaza kuwafukuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea na kuchukua nafasi Bungeni Dodoma.
Asubuhi ya May 30 2016 Baadhi ya Wabunge kutoka vyama tofauti walisimama Bungeni kuomba suala hilo kujadiliwa lakini ombi hilo halilikubalika mbele ya Naibu Spika Tulia Akson. Baada ya kipindi cha pili kurudi mjadala ukakataliwa kwa mara nyingine.
Post a Comment: