Monday, 30 May 2016

NaibuSpika aahirisha Bunge asubuhi hii baada ya wabunge wa kumgomea alipokataa hoja yao ya kujadili kufukuzwa kwa wanafunzi 7,000 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Wabunge bila kujali itikadi zao za kivyama wametoka nje ya kikao cha Bunge baada ya Naibu Spika kukataa kauli ya serikali kuhusu wanafunzi wa Chuo cha Dodoma waliosimamishwa kujadiliwa.

Post a Comment: