Tuesday, 10 May 2016

rais mstaafu wa wamu ya nne Mh Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembela daraja la Nyerere maarufu kama daraja la kigamboni, akiambatana na mkewe Mama Salma Kikwete pia  na viongozi mbalimbali wa chama na serikali,

akiwemo mkuu wa mkoa wa dar es salaam  Mh Paul Makonda na msemaji mkuuwa chama cha mapinduzi ndugu Ole sendeka

Post a Comment: