Rais Kagame Amzawadia Rais Magufuli Ng'ombe watano
Ziara ya Rais Magufuli Rwanda, imeleta
neema baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame, kumgawia ng'ombe watano rais
wa Tanzania kama ishara ya upendo na Ushirikiano. Hii inaleta hali na
Muamko mpya baina ya Tanzania na Rwanda ulokuwa umefifia kiasi cha Rais
wa Rwanda kumwambia rais wa Tanzania aliyemaliza Muda wake Jakaya
Kikwete kwamba "angemhit" Kagame tells Kikwete "I will hit you.
Mungu atujaliye Maisha mema kati ya Tanzania na Rwanda


Post a Comment: