Waziri wa Magufuli, January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya
Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika
Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na
mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe
deal la kujenga port Bagamaoyo.
Mh January Makamba na Mwamvita Makamba
Post a Comment: