Waziri Jenister Mhagama:Atengua Uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu NSSF
Taarifa iliyotolewa usiku huu imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu, uteuzi mpya kwa mujibu wa mamlaka na sheria utakapofanyika taarifa zitatolewa kwa wananchi

Post a Comment: