Saturday, 12 March 2016

Serikali ya Pakistan kupitia kikosi cha jeshi la wanamaji kikiongozwa na  Ijaz Ahmad  pamoja na Mwenyeji wao Balozi wa Pakistan nchini Tanzania wametoa msaada wa  Dawa za Binadamu na kumkabidhi msaada huo Meya Wa kinondoni Mh. Boniface Dawa hizo zitasambazwa kwenye mahosspitali mbalimbali ya kinondoni.
MEYA WA KINONDONI MH BONIFACE JACOB






Vilevile katika ujio huo wamezungumzia changamoto zinazowakabili wana kinondoni na kuongelea kujenga uhusiano mzuri baina ya Pakistan na Tanzania.

Vilevile wageni hao wameisifu amani ya TZ pamoja na Uchapakazi wa Raisi


 BALOZI WA PAKISTAN AKIONGEA NA VYOMBO VYA HABARI BAADA YA KUKABIDHI MISAADA KWA MEYA WA KINONDONI


 
MEYA WA KINONDONI MH BONIFACE JACOB AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BALOZI WA PAKISTAN


Post a Comment: