RAIS DKT.MAGUFULI NA RAIS UHURU KENYATTA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BARABARA YA ARUSHA-HOLILI/TAVETA-VOI YA KM 234.3

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli leo
aweka jiwe la msingi la Ujenzi wa barabara ya Arusha- Holili/Taveta-voi
(km 234.3) kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa
Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta katika eneo la Tengeru jijini Arusha.
Muonekano
wa Barabara ambayo jiwe la msingi linawekwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na Rais wa
Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta.
Post a Comment: