Friday, 4 March 2016


Mh Dc Makonda,Walaka Huu Naandika Huku Nikijiuliza Tena Na Tena,Ni Nini Hasa Hasa Malengo Na Dhamira Yako Mkuu. ? Je Ni Kuwatumikia Wananchi Kweli Ama Kuna Kitu Kingine Cha Zaidi Unatafuta.?

Maana Hivi Karibuni Tumeona Ukionesha Uwajibikaji Kwenye Baadhi Ya Mambo Ya Kihalmashauri Na Hata Kitaifa.Yapo Ambayo Mh Umefanikiwa Lakini Yapo Ambayo Umezua Taharuki Kubwa Na Hisia Za Ndani Kwa Wale Wenye Kutazama Kwa Kina.Labda Nikukumbushe Tu Kuwa Baada Ya Kupishana Kauli Na Watendaji Wako Ndani Ya Wilaya Akiwamo Mwenyekiti Wa Halmashauri Ya Kinondoni,Mh Meya Jacob.Ukahamia Katika Suala La Kuwasafirisha Walimu Bure Ndani Ya Jiji La Dar Es Salaam .Hoja Mabayo Imepingwa Vikali Na Wachambuzi Wengi Wa Kisiasa Na Kiuchumi,Lakini Pia Na Walimu Wenyewe.Sasa Kama Haitoshi Mkuu Umeamua Kutuletea Majizi Katika Wilaya Yetu Ya Kinondoni,Kampuni Ya GSM

 GSM Ni Kampuni Tanzu Ambayo Inamiliki Makampuni Ya Msasani Malls, Pugu Mall, Home Shopping, Etc.
Ambao Hivi Karibuni Walifunga Maduka Yao Ya Home Shoping Centre Kwa Kisingizio Cha Kufilisika.Lakini Habari Za Ndani Zinasema Kuwa Kampuni Hii Ni Moja Ya Makampuni Makubwa Ndani Ya Nchi Hii Yanayoongoza Kwa Kutolipa Kodi.Ndio Kampuni Ambayo Pia Ina Urafiki Wa Karibu Wa Familia Ya Rais Wa Awamu Wa Nne Dr Jakaya Kikwete Kiasi Kwamba Wakatumia Mwanya Huo Kupitisha Mizigo Ya Haramu Na Kutolipa Kodi Ndani Ya Utawala Wa Awamu Ya Nne.

GSM Ni Moja Ya Makampuni Ambayo Yamekimbia Bandarini Pasipo Kulipa Ushuru Wa Forodha.Sasa Mh Dc Paul Makonda 
Unapokwenda Kuwachukua Wezi Na Matapeli Waliofilisi Nchii Na Ukwepaji Mkubwa Wa Kodi Kwa Kigezo Kukupa Msaada Ni Sawa Na Kusema Sasa Serikali Jpm Imeanza Kufuga Wezi.
Lakini Nachelea Sana Kusema Je Nikweli Unatumika Kwa Mh Ridhiwani Ili Kufanikisha Haramu Kuwa Halali Na Ndio Ilipokuja Hadi Suala La Wewe Kutunukiwa Udc ?? Hakika Mh Yakupasa Kukumbuka Kuwa Temba Akisifiwa Sana Mgema Utia Maji

Post a Comment: