Dr Slaa afunga ndoa kimya kimya ughaibuni
Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwa makachero wetu wa habari.
Aliyekua katibu mkuu wa chama cha CHADEMA Dr Wilbord Slaa amefunga ndoa ya kimya kimya akiwa nchini Canada.
Slaa ambae alisifika kwa kuwa mzalendo kabla hajapoteza muelekeo wake kwenye uchaguzi wa rais mwaka 2015.amefunga ndoa hiyo ya siri huko ughaibuni ambako ndiko anapoishi kwa sasa
Post a Comment: