Saturday, 12 March 2016

Ndugu Steven Paulo mwenye umri wa miaka 29 ,kabila lake ni msukuma,mkazi wa rufiji amekamatwa na intelejinsia ya chama cha demokrasia na maendeleo baada ya kughushi na kulaghai kwamba ni mwandishi wa habari kutoka gazeti la habari leo
 afisa habari wa Chadema Mh Makene akimuhoji Bw Steven Paulo
Bw Steven Paulo (katikati) akiwa chini ya uangalizi wa makamanda wa chadema


Post a Comment: