Saturday, 12 March 2016

Mh Ester Bulaya mbunge wa bunda mjini amewasili jijini mwanza usiku huu,kuendelea na vikao vya baraza kuu la chadema
akihojiwa na waandishi wa habari mhe amesema "anaishangaa serikali ya ccm na bunge kutumia gharama kubwa na nguvu nyingi kumkamata yeye ilhali hizo pesa zingetumika kuwasidia hao polisi wanaowatumia kwa kuwaboreshea maslahi yao na vituo vya vya kazi pia"









Post a Comment: