Friday, 11 March 2016

Habari zilizotufikia hivi punde,ni kwamba aliyekua  Waziri mkuu mstaafu na  mgombea urais wa Jamhuri ya muungano  wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa 2015,kupitia mwamvuli wa UKAWA,Mh Edward Lowassa tayari amewasili jijini Mwanza maalumu kwa ajili ya mkutano mkuu wa baraza kuu CHADEMA hapo kesho Tarehe 12 March 2016.

 
  Mh Edward Lowassa akiwasili Hotel ya Gold Crest jijini mwanza hivi punde



  Mh  Hawa Mwaifunga (makamu mwenyekiti baraza la wanawake chadema-bawacha) na Mh Ester Bulaya (Mb-bunda mjini) wakimlaki Waziri Mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa

Post a Comment: