Thursday, 4 February 2016



YALE MANENO YA WAHENGA KUWA KWENYE SIASA HAKUNA ADUI WALA RAFIKI WA KUDUMU ,YAMEDHIBITISHWA TENA LEO KWA MARA NYINGINE BAADA YA  WANASIASA WAKONGWE NA VIONGOZI WA JUU WA VYAMA VIWILI VIKUBWA VYA UPINZANI NCHINI,CHADEMA NA ACT WAZALENDO KUONDOA TOFAUTI ZAO.
ANGALIA VIDEO HII HAPO CHINI KAMA ILIVYORIPOTIWA NA MTANGAZAJI MILLARD AYO

Post a Comment: