Why Tanzanian President Magufuli Is Currently The Best In Africa
Tuliyaona Magazeti mbalimbali ya
Uarabuni, Australia, South Africa na nchi nyingine kadhaa yakisifia
utendaji kazi wa raisi mpya wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli na sasa ni zamu ya huyu mtangazaji wa TV nchini Nigeria anaesema kwanini Rais Magufuli ni raisi bora wa Afrika kwa sasa.
Kwenye hii video hapa chini Adeola Fayehun
ameongelea utendaji wa Rais Magufuli kwa hisia na kutaka wengine wa
Afrika waige mfano kwenye ishu mbalimbali alizozifanya ikiwemo
kutembelea Muhimbili hospitali, kuondoa shamrashamra za siku ya uhuru na
pesa zake kuzipeleka kwenye ujenzi wa barabara, kuondoa safari za nje
kwa viongozi na mengine.
Post a Comment: