MCHAPALO WA MWAKA MPYA (SHERRY PARTY) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM WAZUA GUMZO.
ULE MKUTANO WA MCHAPALO WA MWAKA MPYA UNAONDALIWA NA IKULU KWA AJILI YA MABALOZI NA WAWAKILISHI WA NCHI MBALIMBALI MARAFIKI, ULIFANYIKA JANA JIJINI DAR ES SALAAM,NDANI YA IKULU YA MH RAIS MAGUFULI.UMEACHA GUMZO KUBWA MTAANI ,KIASI KUWA MJADALA MKUBWA KILA PANDE YA NCHI ,HASA KWA JINSI ULIVYOTEKELEZWA SAMBAMBA NA KWA KWENDA SAMBAMBA NA KAULI YA "HAPA KAZI TU" LAKINI PIA KUSHABIANA NA MKAKATI WA RAIS WA KUPUNGUZA GHARAMA NA MATUMIZI YA SERIKALI
PICHA CHINI NI MATUKIO YA MKUTANO HUO
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akihutubia wakati akimuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
katika Mchapalo wa Mwaka Mpya kwa Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi
mbalimbali za Kimtaifa maarufu kama "Sherry Party" Ikulu jijini Dar es
salaam Jumatatu February 8, 2016
Mabalozi
na Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Kimtaifa wakimsikiliza Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akihutubia wakati akimuwakilisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
katika Mchapalo wa Mwaka Mpya maarufu kama "Sherry Party" Ikulu jijini
Dar es salaam Jumatatu February 8, 2016
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika picha ya pamoja Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Kimtaifa jijini Dar es Salaam .
Post a Comment: