MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MAALUM WA WANARUKWA NA KATAVI
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakitazama
badhi ya magari ambayo baba wa taifa , Mwalimu Julius Nyerere aliyatumia
kwenye miaka ya 1950 na 1960 baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa Februari 20, 2016 kufungua mkutano Malum wa
Wanarukwa na Katavi. 
Waziri
Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akizungumza katika mkutano Maalum wa
Wanarukwa na Katavi uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye
ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Februari 20, 2016.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akifungua mkutano Maalum wa Wanarukwa na Katavi
kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Februari 20,
2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya wananchi wa Mikoa ya Katavi na Rukwa wakimsikiliza Waziri Mkuu
Kassim Majliwa wakati alipofungua mkutano maalum wa Wanarukwa na
Katavi kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
Februari 20, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akionyesha Tuzo Maalum aliyotuzwa na
Wanarukwa na Katavi katika mkutano wao maalum uliofunguliwa na Waziri
Mkuu, Kassim Majalwa kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es
salaam Februari 20, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo
Pinda wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Februari
20, 2016 kufungua mkutano Malum wa Wanarukwa na Katavi. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kasim Majlaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda wakifurahia
ngoma baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Februari
20, 2016 kufungua mkutano Malum wa Wanarukwa na Katavi. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Post a Comment: