Monday, 29 February 2016


kwa  taarifa zilizotufikia hivi punde
. Polisi wamekwenda 'kuzingira' nyumba za Mh. Halima Mdee wakitaka kumkamata kumpeleka central police kwa issue inayohusu uchaguzi wa umeya Jiji la Dar es Salaam. Hadi muda huu bado wako nyumbani hapo ingawa Mdee ameshakubali kwenda kituoni na muda si mrefu atakuwa njiani kuelekea huko.

Post a Comment: