RAIS MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA WAHITIMU CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI MONDULI
Saturday, January 23, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali
Davis Mwamunyange wakati alipowasili katika chuo cha Maafisa wa Kijeshi
Monduli Mkoani Arusha kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa
Jeshi kwa cheo cha Luteni Usu, anayetazama katikati ni Mkuu wa Chuo
hicho Meja Jenerali Paulo Peter Massao. Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi wakati akiwasili kwenye
viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kwa ajili ya kuwatunuku
Kamisheni Maafisa wapya wa jeshi kwa cheo cha Luteni Usu.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kutunuku Kamisheni
kwa Maafisa wapya wa Jeshi katika viwanja vya Chuo hicho. Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa
Maafisa wapya Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiangalia gwaride lililokuwa likipita mbele yake
kutoa heshima. Gwaride
la Wahitimu likipita kutoa heshima mbele ya mgeni rasmi Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli.
Post a Comment: