PICHA KUTOKA IKULU:RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MNADHIMU MKUU WA JWTZ, BALOZI WA TANZANIA KUWAIT NA KATIBU TAWALA WA KATAVI NA MWANZA LEO IKULU DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha Dkt.Mahadhi Juma Maalim kuwa Balozi wa Tanzania Nchini
Kuwait Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimkabidhi nyezo za kazi Dkt. Mahadhi Juma Maalim baada ya kumuapisha
kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kuwait Ikulu jijini Dar es salaam leo
January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mnadhimu
Mkuu wa JWTZ Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Luteni Jenerali Venance Salvatory
Mabeyo baada ya kumuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ baada ya
kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo
January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akipokea saluti toka kwa Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses
Chagonja kabla yakumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja kuwa Katibu
Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses
Chagonja baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu
jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve kuwa Katibu Tawala
wa Mkoa wa Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew
Mtweve bvaada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akiongea na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ MStaafu Luteni
Jenerali (Rtd) Samuel Albert Ndomba
baada ya shughuli ya kiapo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016.Picha na IKULU
Post a Comment: