RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BARAZA LA SENETI NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI MH. PIERRE NKURUNZINZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Ndugu Reverien
Ndikuriyo, Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya
Burundi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Ndugu Reverien Ndikuriyo,
Spika wa Seneti na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi. PICHA NA
IKULU
Post a Comment: