Sunday, 13 December 2015

Sehemu kubwa ya Majimbo Tanzania tayari wamepata wawakilishi wao ambao ni Wabunge, kuna majimbo ambayo uchaguzi ulisogezwa mbele kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo Arusha Mjini.
Kwa sababu Kampeni zinaendelea Arusha, nimeona nikuunganishe na picha kutoka kwenye Kampeni za Mgombea wa CHADEMA, Godbless Lema akiwa ameongozana na Edward Lowassa, Frederick Sumaye na viongozi wengine wa CHADEMA.
index II
Frederick Sumaye
index IV
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akiongea na Edward Lowassa.
index IX
Edward Lowassa
index
.
index III index V index VI index VII
index VIII

Post a Comment: