HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI DAR ES SALAAM WANAWAKE 12 WAPATA WATOTO MKESHA WA KRISMAS
Afisa
Muuguzi Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam
Mwanne Satara akimsaidia kumuelekeza Lulu Mohamed namna ya kumfunika
nguo Mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia Krismas Dar es Salaam ambapo
akinamama 12 walipata watoto na Mmoja wa akinamama hao alipata mapacha 2
na kufanya watoto wa kiume kufikia 6 na wakike 7, kati yao akinamama
waliofanyiwa upasuaji ni akinamama 10 na kati ya hao watoto njiti 2 na
Hospitali ya Temeke akina mama waliojifungua hospitalini hapo kufikia
idadi ya watoto 12, wakiume 4 na wakike 8 .
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Afisa
Muuguzi wa Zamu wa Hospita ya Mkoa Amana Florensia Ndumbaro akizungumza
na waandishi wa Habari (pichani hawapo), Hospitali tumepokea idadi ya
watoto waliozaliwa mkesha wa Krismas ni 33 kati yao 15 ni wakike na 18
ni wakiume na wote wapo katika hali nzuri na wananyonya vizuri pia mama
zao wanaendelea vizuri.
Post a Comment: