Monday, 9 November 2015


























MH DKT JOHN POMBE MAGUFULI RAISI WA AWAMU YA TANO TANZANIA,  LEO KATIKA KILE  KINACHOONEKANA NI MUENDELEZO WA KASI  YA UTENDAJI ALIYOANZA NAYO LAKINI PIA AKIFUATA NYAYO ZILEZILE  ALIZOANZA NAZO RAIS WA AWAMU YA NNE MH JAKAYA KIKWETE.
AMETEMBELEA KWA KUSHTUKIZA HOSPITAL YA TAIFA YA RUFAA YA MUHIMBILI KATIKA KUJIONEA HALI HALISI JINSI HUDUMA ZINAVYOTOLEWA HOSPITALINI HAPO.IKIWA NI TUKIO LA PILI SASA KWA MH KUTEMBELEA OFISI ZA SERIKALI BILA KUTOA TAARIFA ,HALI ILIOKUWEPO LEO MUHIMBILI HAIKUA TOFAUTI SANA NA ILE ALIOIKUTA  WAKATI ALIPOTEMBELEA WIZARA YA FEDHA NA HAZINA BAADA YA KUKUTA BAADHI YA WATUMISHI KUTOKUWEPO ENEO LA KAZI BILA TAARIFA RASMI.

HADI TUNAZIPATA HABARI HIZI MH RAISI BADO ALIKUA ENEO LA MUHIMBILI,HABARI ZAIDI ZITAKUJIA HIVI PUNDE..STAY FOCUSED

Post a Comment: