Sunday, 11 October 2015
































MH EDWARD NGOYAI LOWASSA AKIONESHA HATI YA USHUJAA ALIOKABIDHIWA JANA WILAYANI TARIME
 
WAKAZI WA  WILAYA YA TARIME MKOA WA MARA JANA WALIMKABIDHI HATI YA USHUJAA ,MGOMBEA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA ) MH EDWARD NGOYAI LOWASSA  IKIWA IN ISHARA YA KUTAMBUA MCHANGO WAKE NA USHUJAA ALIONAO MH EDWARD LOWASSA KATIKA KULIPIGANIA TAIFA KWENYE MABADILIKO YA KWELI NA YENYE TIJA KWA WANANCHI NA TAIFA ZIMA

AKIPOKEA HATI HIYO YA USHUJAA KUTOKA KWA WANATARIME  MH EDWARD LOWASSA AMESEMA CHETI HICHO KINAMUONGEZEA MORALI WA KUWATUMIKIA WATANZANIA LAKINI ANATAMBUA PIA HILO NI DENI AMBALO AMELIKOPA KWA WANATARIME NA WATANZANIA WOTE NA YAMPASWA KULILIPA TU PUNDE ATAKAPO ANZA KAZI YAKE KAMA RAIS WA JAMHURI YA MUONGANO WA TANZANIA.

Post a Comment: