TAARIFA YA NEC DHIDI YA VITUO VYA KULA
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani
amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo
vya wapiga kura kote nchini. Katika ufafanuzi huo amefafanua mambo
makuu Mawili.
1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafanua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na
2. Namna SAHIHI ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.i). KUTUO HAKITAZIDI WATU 450ii). KITUO KINAWEZA KUWA NA IDADI CHINI YA WATU 450ILI WATU WALIOJIANDIKISHA KITUO KIMOJA WASIHAMISHWE KWENDA KUJAZIA ENEO JINGINE.
Itakuwa hivi.Endapo kuna eneo ambalo watu waliojiandikisha ni 1900 Tume ya taifa ya uchaguzi itagawanya watu kama ifuatavyo:-450+450+450 = 13001900-1300 = 550550 gawanya kwa 2 = 275
KWA HIYO MAHALI PENYE WAPIGA KURA 1900PATAKUWA NA VITUO VITANO (5)
1. KITUO CHA KWANZA WATU 4502. KITUO CHA PILI WATU 4503. KITUO CHA TATU WATU 4504. KITUO CHA NNE WATU 2755. KITUO CHA TANO WATU 275JUMLA 1900
ZINGATIAKutokana na kuwepo kwa vituo vyenye idadi ya watu chini ya 450 kumefanya idadi ya vituo iwe kubwa
Post a Comment: