Sunday, 11 October 2015

 MH EDWARD LOWASSA AKIHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA MUSOMA JIONI YA LEO
 MAELFU YA WAKAZI WA MUSOMA WALIHUDHURIA MKUTANO WA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA MH EDWARD LOWASSA WAKINYOOSHA MKONO KUASHIRIA KUMUNGA MKONO NA WAKO TAYARI KUMPA KURA TAREHE IFIKAPO 25 OKTOBA


     MH EDWARD LOWASSA AKIINGIA UKUMBINI AKIWA AMEAMBATANA NA      MGOMBEA UBUNGE WA MUSOMA MJINI MH VICENT J. NYERERE
MOJA YA MABANGO YALIOKUWA YAMEBEBWA NA WANANCHI WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO LIKIWA NA UJUMBE MAALUMU

Post a Comment: